Wakuu,
Wote tunajua kuwa Uchaguzi umekaribia na CCM kama kawaida wataanza kufanya vituko ili kupata huruma za wananchi.
Kuelekea Oktoba Makada wa CCM wataanza kuosha vyombo, kuruka sarakasi, kupiga magoti n.k
Tujumuike hapa kuweka picha na vibonzo kuelekea mwezi Oktoba
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake
Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo...
Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa!
Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata?
Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana...
Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe.
Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.