siasa za kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kujiondoa kwa Raila Odinga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa AUC kutabadili upepo, pumzi na uelekeo wa siasa za Kenya kuanzia sasa

    Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana kwamba kiongozi huyo wa upinzani Kenya angeshinda nafasi ya kua mwenyekiti wa Kamisheni ya Umaoja wa...
  2. Mindyou

    Rigathi Gachagua: Rais Ruto alinipa Ksh Bilioni 2 ili nijiuzulu. Aliniambia naweza kugombea Urais mwaka 2027

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu. "Ruto aliniomba nijiuzulu, na kuniahidi KSh2 bilioni. Aliniahidi na ulinzi wa kutosha na marupurupu...
  3. Mindyou

    Kenya yatoa muongozo kutaka kampuni zote za mitandao ya kijamii kuwa na ofisi nchini humo

    Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo. Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na kampuni hizo sio mabaya. "Kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo unyanyasaji...
  4. BLACK MOVEMENT

    Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  5. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  6. Valencia_UPV

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

    Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President. ===== Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani. Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma...
  7. kavulata

    Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

    Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU. Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua? Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa...
  8. and 300

    Gachagua asisafiri kwa Helikopta, ni hatari kwake kwa hali ilivyo!

    Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia! Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo. Soma Pia: Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua...
  9. ras jeff kapita

    Siasa za Kenya ni za moto na speed ya 4G

    Wasalaam Wakati majuzi Kenya imetoka kupoa kutoka maandamano ya Gen Z. Kabla hawajakaa sawa leo wapo kwenye moto mwingine wa Kumfukuza kazi DP Makamu wa raisi wa Kenya kwa Tuhuma mbalimbali ikiwemo ukabila. Na kufinance Maandamano ya Gen Zee. Kwa mujibu wa sheria za Kenya ukishakuwa impeached...
  10. chiembe

    Jana tu wananchi walikuwa wanalisema "Rutto Must Go" leo wabunge wanaimba "Gachagua must Go. Kuna haja ya siasa za Afrika kudhibitiwa na dola

    Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano. Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari. Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
  11. M

    Siasa za Kenya ni za kushangaza sana

    Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi? Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua. Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto...
  12. Tlaatlaah

    Falsafa na mbinu ya Uongozi anayoitumia Rais William Ruto itamuwezesha kushinda muhula wa pili Uongozini kirahisi sana 2027

    Kukubali kuondoa muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024/2025, uliolalamikiwa na kuibua maandamano ya Gen Z, kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kuwafuta kazi Mawaziri wote waandamizi Serikalini, kusitisha nyongeza ya mishahara kwa Watumishi wa Umma na kupunguza safari za nje, posho, marupurupu...
  13. S

    Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

    Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao. Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya...
  14. Tlaatlaah

    Baada ya kuwatuliza Gen Z, mfalme wa siasa za Kenya Dr. William Ruto aanza tena siasa za majukwaani na ni dhahiri atashinda tena Urais 2027

    Washirika wake wa chama chake cha UDA na Muungano wa KENYA KWANZA maseneta, wabunge na magavanor bado wanamuona ni mtu pekee na muhimu zaidi katika kuwaunganisha wa Kenya na kuwaletea maendeleo endelevu katika maeneo yao. Wana Imani nae sana licha ya vijana kutaka ang'atuke mamlakani. Sambamba...
  15. Crocodiletooth

    Kuelekea siku ya Maandamano Machi 20 Nchini Kenya, Ujinga na uroho wa Madaraka vimetawala

    Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia. Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
  16. J

    Falsafa za Hayati Magufuli zatawala Kenya, ibada za Jumapili zatumika kuhutubia Taifa!

    Sukuma Gang mnaweza kujifariji walau jirani Kenya wanatembea na falsafa za Shujaa Magufuli; 1. Wabunge wanaunga Juhudi za Dr. Ruto. 2. Hotuba za Kanisani Jumapili. 3. Matajiri wanalipa kodi. 4. Wanyonge wanapata upendeleo nk.
Back
Top Bottom