Wasalaam
Tukirejea katika hotuba ya Mwl Nyerere , wakati akizungumzia mapendekezo ya uwepo wa mfumo wa vyama vingi, anaelezea kwa kina dhamira ilikuwa ni kuwapa tahadhari CCM wasijikute wanaangia katika usingizi , na yeye mwenyewe anakiri kuwa kwa wakati huo aliona kuna namna viongozi walilala...
Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi mashuhuri sana wa siasa za Afrika na ndio maana ya ustaarabu tunaoushushudia
Ndipo zikanijia kumbukumbu...