siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Superbug

    Namuona Lissu kama Nabii/Mtume namimi kama mfuasi wake

    Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
  2. ChoiceVariable

    Kama USA Wabunge Wasio na Nidhamu Hutolewa Nje ya Bunge ,Kwa Nini Wakwetu Wakitimuliwa Inakuwa Nongwa Kwa CHADEMA?

    Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo; 1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi 2.Kumbe Kila Chama kinatekeleza na kufuta ya Watangulizi wake tofauti na tunavyodanganyagwa eti Rais Mpya anaanza alipoishia...
  3. R

    Ufalme wa Mungu ukiingia katika siasa za nchi yetu, hakuna mtu atatekwa tena

    Hellow Tanganyika!! IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema, Msalipo,semeni hivi: BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, "UFALME WAKO UJE", Mapenzi Yako yatimizwe hapa duniani kama huko Mbinguni... Sasa wanasiasa ukiwagusa...
  4. Mi mi

    Pre GE2025 Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni hapana!

    Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao. Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya...
  5. Financial Analyst

    Hivi huu uchawa ni njaa kali? Upungufu wa akili? Au ni vyote kwa pamoja.

    Aiseee, Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea, Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani aone jinsi unavyo mtukuza mtu ili tu ubahatike kujipatia kakitu fulani, aisee atarudi tena kusinzia...
  6. K

    Siasa ya Trump inavyoathiri harakati za Lissu na CHADEMA

    Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu. Kwamba kupitia...
  7. Frontnn

    Mwelekeo wa Siasa za Tanzania: Mustakabali wa Taifa Katika Mazingira ya Sasa

    Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
  8. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!

    Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
  9. Eli Cohen

    Pale tutakaporuhusu kupenya kwa mrengo wa kushoto na itikadi kali katika hapa Tanzania, tutakwisha

    Hii mihimili miwili ipo juu zaidi katika list ya vitu vya kitapeli kuwahi kutokea hapa duniani. Kama mnataka watoto wenu kufundishwa elimu ya ushoga ya awali, kubadirishwa jinsia, wake zenu kuuguzwa ugonjwa wa feminism, wahamiaji kuingia kwenu kiholela kupelekea uharifu kuongezeka, kufanyika...
  10. A

    Siasa inavyoathiri maisha ya Mtanzani wa kawaida katika maisha yake ya kila siku

    Siasa ina athari kubwa kwenye mfumo wa maisha ya mtu wa kawaida katika maisha ya kila siku kwa njia mbalimbali, ikiwemo: 1. Uchumi na Ajira: Sera za kisiasa, kama kodi, ruzuku, na sheria za ajira, huathiri uchumi wa nchi. Hali ya kisiasa inaweza kuathiri upatikanaji wa ajira, kiwango cha...
  11. Mlalamikaji daily

    Pre GE2025 Je Media za Tanzania zitaipa chadema Airtime ya kutosha kwenye mkutano wao kama ilivyofanya kwa CCM?

    Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
  12. Makonde plateu

    Waraka wa Zitto Kabwe wakati anahama CHADEMA

    Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Profesa Kitila...
  13. Mzee wa Code

    Rais Samia anatuonyesha Hakuna Mbadala wa CCM Katika Siasa za Tanzania

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Kwa miaka mingi...
  14. W

    Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  15. S

    CCM mnaikumbuka hii?

    ..
  16. Rorscharch

    Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  17. Gabeji

    Watanzania wanataka upinzani wenye nguvu ili serikali ifanye kazi yake vizuri

    Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya Upinzani dhaifu Kutekwa watu hovyo Rushwa kila kona Kupotea kwa watu Mauaji bila sababu Viongozi walarushwa Viongozi wazembe Viongozi mafisadi Jamii ya kichawa Huduma za kijamii mbovu
  18. milele amina

    Pre GE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  19. gcmmedia

    Uchaguzi CHADEMA na kutawala siasa za Tanzania

    Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa. Hili ni jambo...
  20. Nehemia Kilave

    Kuwa mpinzani sio ujanja na kuwa CCM sio ujinga , bila fair political battle ground chuki itatumaliza

    CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao . Kipindi nakua nlikuwa naichukia sana CCM na kuwaona wale walio upinzani ndio wa maana sana ,nlikuja gundua yale ndio yalikuwa mawazo ya...
Back
Top Bottom