Ndugu wadau. JamiiForums ni sehemu nziri ya Kupata elimu- Tuangalie misuko suko waliopitia ndugu zetu wa dini ya kikiristo.
Vita vya madhehebu ya Kikristo vinahusisha migogoro na mapambano kati ya makundi mbalimbali ya Wakristo wenye imani tofauti ndani ya Ukristo. Hapa chini ni mifano ya vita...