Nimeshawishika kuandika hili baada ya kuona vijana wanafunzi wa sekondari wakikokotwa na walimu wao na kupelekwa kujiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni jambo zuri vijana kupiga kura, lakini je, walimu wao wanaendelea kuwapa elimu ya uraia vijana hao ikiwemo kuchagua viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.