sido

This is the discography of Sido, a German rapper from Berlin.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kuna haja SIDO na karakana za Engineering kupewa semina ili wawe na bei rafiki katika uhunzi wao

    Mimi napenda tu kuwashauri hawa mafundi wenzangu waliopo SIDO na karakana nyingi katika nchi yetu! Kama kuna mamlaka za kuwasaidia kuwaelemisha basi waelimishwe katika eneo la biashara! Bei zao nyingi katika uhunzi wa vipuri siyo rafiki kabisa kwa mtanzania ukilinganisha na bidhaa ileile...
  2. KERO Mashine za Mpunga zimekuwa kero na hatari kwa Afya za watu hapa Soko la SIDO - Mbeya

    Hivi Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya pamoja na Watu wako wa Mipango Miji wakati mlipokuwa mnawahamishia Wafanyabiashara katika Soko la Sido hivi mlifikiria suala la afya zao? Mlikuwa mnajua kabisa kwamba lile ni eneo la viwanda ilikuwaje mkawahamishia Wafanyabiashara pale? Kipindi hiki mtu ukienda...
  3. Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

    Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz. Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu. CHANGAMOTO: 1. wenye master key 2. Muundaji kuacha...
  4. SIDO Mwanza wako sehemu gani?

    Habari zenu wakuu! Naomba kuuliza SIDO Mwanza wanapatikana wapi?
  5. Naomba anayejua muungozo wakujiunga SIDO

    Wakuu, ninakaribia kutimiza mwaka tangu nihamie sehemu hii ninayoishi sasa. Lakini hali niliyokutana nayo hapa inaniumiza sana, hasa kutokana na biashara ninayotaka kuanzisha. Biashara hii inahitaji niandae bidhaa, lakini sina ofisi na kwa mkoa huu ninapoishi, gharama za kuwa na ofisi ni kubwa...
  6. J

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  7. Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

    Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
  8. KERO Soko la SIDO mkoani Mbeya na changamoto zilizopo

    Habari wapendwa. Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua. Nianzie kwenye mambo yafuatayo kwenye jiji letu la mbeya ambayo kwa kweli yanakera sana . #soko la sido ni...
  9. Various Posts at SIDO March, 2024

    1. Training Assistant II - 2 Posts DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To conduct on-the-job training, classes, or training sessions to teach and demonstrate principles, techniques, procedures, or methods of designated subjects; ii. To observe and evaluate students’ work to determine progress...
  10. Director Of Technology Development And Planning (Re-Advertised) at SIDO February, 2024

    Position: Director Of Technology Development And Planning (Re-Advertised) Duties and Responsibilities (i)Planning, research, technical services, technology development and preparation of strategic plans and economic research papers on relevant issues for the SME sector in collaboration with...
  11. Mafuta ya kupaka, kindoo hadi pipa zima

    Wakuu, watu wa sido na wajasiriamali salaaam. Nina uhitaji na mafuta ya kupaka ndoo moja kwanza lita kumi hadi lita ishirini kwa ajili ya project. Mambo yakikaa sawa nitaagiza hadi mapipa kwa mapipa.. Mafuta ninayohitaji ni cosmetic grade. Yale mtu anaweza changanya na viinilishe au dawa...
  12. T

    SoC03 Sido iwe kichochezi katika kilimo cha kisasa hapa nchini

    Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza kufanya kazi zilizokuwa zikifanywa na watumwa pamoja na wanyama na zikaja kuwapiku kwa kuongeza...
  13. SIDO Lwossa Kukarabatiwa kwa Shilingi Milioni 293.99

    NAIBU WAZIRI VIWANDA - SIDO LWOSAA KUKARABATIWA KWA SHILINGI MILIONI 293.99 Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa zaidi ya Shilingi Milioni 293.99 zinahitajika kwa ajili ya kukarabati na kukamilisha jengo la viwanda vidogo vidogo la Lwosaa. Mhe...
  14. Rais Samia ateua Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO). Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Barabara Kuu na Usafirishaji, Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…