sifa mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangazi dot com

    Watu wote si wabaya, ila wabaya ni wale

    Wanaotelekeza watoto wao na wanaokimbia majukumu ya kifamilia (ikiwemo kutunza wazazi wakizeeka). Wanaowaonea wivu wengine na kuweka nguvu kwenye kuwashusha kiuchumi na au kuwazibia fursa kwenye shughuli zao za kujiingizia kipato. Wanaochepuka kwenye mahusiano na kuleta magonjwa kwa wenza wao...
  2. Pridah

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
  3. P

    Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
  4. Ushimen

    Historia iliyofichwa kuhusu gereza la Alcatraz, lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi.

    Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz. Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi. Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San Francisco, kuanzia miaka ya 1930 hadi 1960, Gereza la Shirikisho la Alcatraz lilihifadhiwa kwa ajili...
  5. sky soldier

    Kwanini watu hujivunia sifa nzuri za kabila lao lakini kwenye sifa mbaya wanajitetea kwamba kila kabila lina hio sifa mbaya

    Sifa ya kabila flani hutumika pale kiwango cha kawaida na kilochozoeleka kikizidi kwenye kabila flani, mfano ni kawaida kukuta katika kila kabila kuna mtu moja kati ya 100 ana sifa fulani lakini kuna kabila fulani wamezidi hiki kiwango, unakuta wapo hata watu nane ama zaidi kati ya 100 wenye...
  6. vivaforever

    Magereza yenye sifa mbaya zaidi duniani

    01. Gitarama Prison, Rwanda Hili ndio gereza lenye msongamano mkubwa wa wafungwa Ulimwenguni huku likichukua wafungwa wapatao zaidi ya 7,000 huku lenyewe likiwa lina uwezo wa kuchukua wafungwa 400 tuu. Wafungwa wengi ndani ya gereza hili ni washukiwa wa Mauaji ya Kimbari (Rwandan Genocide)...
Back
Top Bottom