01. Gitarama Prison, Rwanda
Hili ndio gereza lenye msongamano mkubwa wa wafungwa Ulimwenguni huku likichukua wafungwa wapatao zaidi ya 7,000 huku lenyewe likiwa lina uwezo wa kuchukua wafungwa 400 tuu.
Wafungwa wengi ndani ya gereza hili ni washukiwa wa Mauaji ya Kimbari (Rwandan Genocide)...