Kutengeneza kipato cha majengo ni moja ya njia ya kujenga utajiri. Njia hii ya kumiliki majengo ya biashara ya kupangisha imeonyesha ufanisi mkubwa kuwasaidia wengine kujenga utajiri.
Kipato cha majengo ya biashara ni kizuri ukilinganisha na faida ya kununua na kuuza ardhi. Tofauti ya kipato...