Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya Waandishi wa Habari amemlipua Tundu Lissu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Prof. Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lissu...