Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree.
Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu...