Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia...