Kuwa mke sio kazi rahisi, khususan kuwa mke bora na sio bora mke. Lakini, iwapo unafanya mambo haya 14, kuna nafasi kubwa mumeo anajua kwamba ana mke bora kwenye uso huu wa dunia.
1. UNAFURAHIA MAFANIKIO YAKE
Amepandishwa cheo kazini, amemaliza masomo yake, au amefanikiwa kufanya jambo fulani...