Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.
Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka...
Viongozi tunaowachagua tunawapa mamlaka ya kutuamulia mustakabali wa maisha yetu katika kipindi chote cha uongozi wao. Viongozi hawa wanatunga sheria na sera kwa niaba ya wananchi wote, wanachukua mikopo kwa niaba ya watanzania wote, wanasimamia matumizi ya pato (uchumi) la taifa, ulinzi na...
Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?
Una maoni gani juu ya hali hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.