Wanaidawa kuwa na upendo, huwa maarufu sana, ni watu watulivu, wenye amani na pia wanasifika kuwa na uvumilivu
Inadaiwa Watu hawa huwa na mtazamo chanya wa mambo na hivyo huwafanya kuwa werevu na Washauri wazuri. Huwa ni watu wanaojitahidi kufikia malengo yao bila kujali changamoto au vikwazo...