Wapendwa,
Kwa muda sasa nimekua na ziara ya muda mrefu kujifunza, kusoma ramani na kupima upepo wa kisiasa, kuskiza maoni, mitazamo, ushauri na kwakweli kusaidiana na wananchi wa Jimbo la chemba na actualy ndio nyumbani kwetu, katika kutatua changamoto ndogo, za kati na kubwa kadiri...