Kiukweli mimi kama mdau wa soka la Tanzania na dunia kwa ujumla, nashindwa kuelewa kuhusu Azam FC, kiufupi hii timu inawachezaji wa hali ya juu na vitu vyote vya kimichezo kama uwanja na facilities zote zipo lakini Azam Fc imekuwa ni timu ya mechi mbili tu yaani Vs Simba na Vs Young Africans...
Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
Wasalaam
Nimesikiliza interview ya Ezekiel Wenje iliyofanyika wasafi fm nikagundua kuwa huyu mtu ni nusu mfu na anachowaza ni ruzuku tu na madaraka. Asema eti Abdul ni mtu muungwana sana na mkarimu, kweli leo ccm wamekua wema kwake na chadema? Tangu lini? Ukimwangalia anavyoongea unaona kabisa...
CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa
Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu wa 2025.
Ninashangaa kauli za viongozi wa CHADEMA kulalamikia kuenguliwa kwa wagombea...
Habari Hongera na weekend!
Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.
Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
Habari za muda huu Wanajamvi,
Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na nimeomba huduma ya kufungiwa internet nyumbani (fiber) na sasa yapata miezi sita ila sijafungiwa...
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu.
Leo...
Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake.
Sasa huku sio ndio kujimaliza...
Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.
Tukiondoa...
KUWA NA SIKIO LA KUFA: KUWA TAYARI KUSIKILIZA MAONI NA MALALAMIKO YA WENGINE
Mwandishi: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika ulimwengu wa leo, jamii zetu zinakabiliwa na changamoto nyingi. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu, mabadiliko ya hali ya hewa, na migogoro ya kisiasa, ni muhimu zaidi kuliko...
Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia.
Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
Wakati mitihani ya midterm ikiendelea walimu wengi wameonekana wapo kwenye ukumbi wa jiji wakiwa wameitwa kuhakiki madai yao. Idadi ya walimu ni kubwa. Almost kama wote wameondoka vituoni wapo ofisi za jiji la Mwanza.
Taarifa za walimu wengi hazionekani japo walikuwa wamejaza vendor form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.