siku 60

SIKU is the range of toy vehicles and related products produced by the German company Sieper Lüdenscheid GmbH & Co. KG in Lüdenscheid, Germany. The company manufactures many vehicles, but the Super Series 1:55 scale die-cast line is the core product, thus Siku historically could be seen as the "German Matchbox". The company also owns the well known HO scale producer Wiking-Modellbau.

View More On Wikipedia.org
  1. Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  2. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  3. Nimekosa Mkopo benki kisa nilichelewesha rejesho mwaka 2018 kwa siku 60

    Wadau njooni hapa tufarijiane. Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri, nilicheleweshewa malipo sehemu, ila benki tulikuwa tunawasaliana vizuri tu. Badae nikalipa na mda...
  4. Mifuko ya Hifadhi ya Jamii yapewa siku 60 kuwalipa Wanachama wake

    Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake. Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
  5. Rais Samia atoa siku 60 kwa Waajiri kulipa malimbikizo ya Bima ya Afya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha anasimamia madai ya Bima ya Afya na tatizo la waajiri kutowasilisha michango ya Wafanyakazi. Akizungumza kuhusu Bima ya Afya Rais Samia amemuagiza Waziri Mkuu Majaliwa kusimamia madai ya watoa huduma yanayopaswa kulipwa...
  6. A

    Likizo siku 60 kisheria imekaaje?

    Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
  7. J

    Mawakala wa Ushuru Jiji la Dar es Salaam watafuna tsh bilioni 10 walizokusanya, RC Makalla awapa siku 60 wazirejeshe!

    Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani Chanzo: ITV habari
  8. #COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

    Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida. Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi. Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
  9. M

    Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

    Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uchapakazi makini, kwa uongozi thabiti na serikali inayosikia na kuzingatia maoni, matakwa na maslahi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…