Kichwa cha uzi kinajieleza..
UTANGULIZI
Ni kama wiki 2 mbili hivi, nili post thread ya kuhitilafiana na landlord wangu mahali ilipo ofisi yangu hapa town kati.
Sasa kwakua nilikua na mambo mengi sana yananivuruga, biashara inasua sua, na mambo mengine ya kikazi, nikaamua kujipa Reatreat...