Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana.
Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas.
Double standard sana hawa watetea magaidi.
Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.
Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani
Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
Wakuu salaam,
Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha.
Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu?
kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya.
Hamchoki?
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
Siku ya leo haikuwa siku nzuri kwa CRDB. Wateja wengi tulikosa huma na wengine tulikaa ndani ya Benki kwa muda mrefu sana kwa Benki kukosa mtandao. Mpaka sasa Benki haijatuomba radhi licha ya kupata adha kubwa.
Umofya wana JF,
Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.
Je, kipi ni kipi? Tusaidiane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.