Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi amehudhuria sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika hapa Beijing.
Kwa niaba ya serikali ya China, Bw. Wang ametoa pongezi kwa mabalozi wa nchi za Afrika nchini China, mataifa ya Afrika na watu wao. Bw. Wang amesema, Siku...