Leo ikiwa ni siku ya Baba duniani, naomba tutafakari swali hili na kujijibu. Kwanza natoa angalizo kuwa huwa napenda sana kuangazia sababu za kiroho katika kila jambo, hivyo usipende sana kusoma mada zangu kimwili maana itakuwia vigumu kidogo kuelewa. Utangulizi; Ukifanya uchunguzi kama...
Wakuu salama?
Leo 16/6/2024 ni Siku ya akina Baba Duniani/Father's Day (ambayo husheherekewa kila Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni). Kwa maoni siku hii hatuwasherekei tu wanaume wenye watoto/wanaoitwa baba na wenye upendo kwa watoto wao bali pia tunawasherekea:
- Wale wote wanaotamani kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.