siku ya baba duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku ya Baba Duniani: Kwanini katika familia nyingi akina baba hutangulia kufariki?

    Leo ikiwa ni siku ya Baba duniani, naomba tutafakari swali hili na kujijibu. Kwanza natoa angalizo kuwa huwa napenda sana kuangazia sababu za kiroho katika kila jambo, hivyo usipende sana kusoma mada zangu kimwili maana itakuwia vigumu kidogo kuelewa. Utangulizi; Ukifanya uchunguzi kama...
  2. Happy Father's Day kwa akina baba wote JF na Dunia kwa ujumla. Una ujumbe gani kwa Baba yako leo?

    Wakuu salama? Leo 16/6/2024 ni Siku ya akina Baba Duniani/Father's Day (ambayo husheherekewa kila Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni). Kwa maoni siku hii hatuwasherekei tu wanaume wenye watoto/wanaoitwa baba na wenye upendo kwa watoto wao bali pia tunawasherekea: - Wale wote wanaotamani kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…