Wasalaam,
Ile siku ni Leo tarehe 15 Mei, 2024. Kila mkoa unaadhimisha na wilaya zake na kata zake na vijiji vyake.
Vyombo vya habari vinapaza sauti. Ukiona kimya uliko, basi kuna mtu hajatimiza tu wajibu wake wa kupaza sauti au wa kusikiliza sauti iliyopazwa.
Sisi tuko Dodoma, Viwanja vya...