siku ya ijumaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana. Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana. Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
  2. S

    Vazi la Kanzu linaruhusiwa bungeni kama sio siku ya Ijumaa?

    Nimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa. Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya...
  3. N

    Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  4. Leo ni siku ya Ijumaa kuu, unafahamu vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?

    Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
  5. H

    Kwanini Redio nyingi hapa Tanzania siku ya Ijumaa wanapiga zaidi nyimbo za kaswida za Kiarabu kuliko Kiswahili?

    Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu. Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali. Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
  6. Uchambuzi wa Sheria ya Kanisa Katoliki ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu

    Tumsifu Yesu Kristo Kwa wakatoliki, leo siku ya Ijumaa kuu ni kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. "funga Jumatano ya majivu usile nyama siku ya Ijumaa kuu".. ni moja ya sheria ya kanisa katoliki. KWANZA kabisa kabla ya kwenda mbali, lazima tujue kuwa, maana yetu ya msingi...
  7. P

    Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

    Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata...
  8. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa. Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…