Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amewahimiza wapenzi wa lugha ya Kiswahili nchini Comoro kujitokeza kwa wingi Siku ya Jumapili ili kukienzi Kiswahili katika Hafla Rasmi waliyoandaa kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Moroni.
Balozi Yakubu aliwaeleza waandishi wa habari kuwa maandalizi...