MAPISHI, BURUDANI NA MIJADALA VYANOGESHA SIKU YA KISWAHILI COMORO
Watanzania waishio nchini Comoro na wananchi wa Kisiwa cha Ngazija na wanadiplomasia wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani kwa burudani mbali mbali pamoja na mijadala.
Takribani washiriki 500 wamejitokeza...
Leo Julai 7, ni Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani ambayo ilipitishwa rasmi Novemba 2021, kupitia azimio namba 41 C/53 la Umoja wa Mataifa likiwa chini ya UNESCO.
Siku hii ilikuwa rasmi kwa lengo la kutambua mchango wa Kiswahili katika kukukuza tamaduni mbalimbali, kujenga hamasa na...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amewahimiza wapenzi wa lugha ya Kiswahili nchini Comoro kujitokeza kwa wingi Siku ya Jumapili ili kukienzi Kiswahili katika Hafla Rasmi waliyoandaa kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Moroni.
Balozi Yakubu aliwaeleza waandishi wa habari kuwa maandalizi...
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI
Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya Afrika hapo chuoni.
Visa ya Marekani ina tabu kidogo na nilipofika Consulate ya Marekani kuomba visa...
MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI?
(Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe 07/07/2022 saa 10:00 -11:00 jioni)
1.0 UTANGULIZI
Tarehe 23/11/2021 ndio siku ambayo Shirikika la...
Kiswahili kimekuwa na kinatambulika kimataifa. Kuadhimisha siku hii tunatoa ofa ya vitabu viwili vilivyofasiriwa kwa kiswahili. Tuone whatsapp(0715278384). Sema umetoka JF.
Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO tarehe 23 mwezi Novemba mwaka 2021 lilitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa siku ya Kiswahili duniani.
Maudhui ya maadhimisho ya mwaka huu ni Kiswahili kwa amani na ustawi. Lengo hasa la maadhimisho haya ya mwaka ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.