Rais Mstaafu Mzee Kikwete ameshiriki Siku ya Maji huko New York nchini Marekani
Dr Kikwete ni Mwenyekiti wa Global Water Partnership Barani Africa
=====
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na...
Maadhimisho ya siku hii hulenga kukumbusha Jamii kuchukua hatua madhubuti za uhifadhi wa maji ili kukabiliana na shida ya Maji Duniani kote.
Pia huangazia umuhimu wa maji na kutoa wito wa usimamizi endelevu wa rasilimali na vyanzo vya maji safi.
Haya ni Maadhimisho ya 30 tangu kuanzishwa kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.