siku ya mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku ya Mazingira Duniani: NEMC yaipongeza Muhimbili kwa kutunza mazingira vizuri

    Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi Juni, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea na kutoa misaada ya kulinda mazingira katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo...
  2. Siku ya Mazingira Duniani (Juni 05): Tumeshindwa kabisa kudhibiti uchafu wa taka za plastiki?

    Maadhimisho ya Siku hii hufanyika kila Juni 05, na kwa mwaka 2023 yanaangazia zaidi Uchafu wa Mazingira unaotokana na Taka za Plastiki, na jinsi ya kukabiliana nao Zaidi ya Tani Milioni 400 za Plastiki zinatengenezwa Duniani kila mwaka. Inakadiriwa kuwa, Tani Milioni 19 hadi 23 huishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…