siku ya mshahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuishi kwa ‘Budget’ au Kuangalia Tu Karatasi ya Mshahara?

    Siku ya mshahara ikifika, unahisi furaha kama umeshinda zawadi kubwa. Unajiaminisha kuwa huu mwezi utakuwa tofauti – utapanga matumizi vizuri, utaweka akiba, na hata uwezekano wa kuwekeza kidogo. Lakini baada ya wiki mbili, unajikuta unajiuliza: Hivi hela yangu imeenda wapi? Inawezekana tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…