Leo tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, tukumbuke kwamba bado wasichana wengi ni wahanga wa ukatili wa kijinsia.
Swali la kujiuliza ni hili: Je, tunawajali na kuwalinda mabinti wa wenzao kama tunavyowalinda wa kwetu?
Tafakari na chukua hatua kuhakikisha kila binti anapata haki na ulinzi...
Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii.
Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.