Mada kuu ya siku hii tukufu ya leo, ni jinsi gani, tutawalinda wale wanaofichua ufisadi Afrika.
Tanzania kimya kabisa au haiitambui siku hii. πππ
Siku ya Kupambana na Rushwa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Julai. Hii ni siku iliyotengwa na Umoja wa Afrika (AU) kwa ajili ya kuongeza...