Habari ndugu yangu. Bila shaka upo salama kabisa na Afya tele . Pole kwa misukosuko ya hapa na pale katika kulisaka tonge 🙏
Waungwana maisha ni safari ndefu ila sio kwa Kila mtu inakuwaga ndefu sana. Kuna wale wenye bahati waliosoma kwanzia madarasa ya awali mpaka chuo bila kurudishwa ada na...