siku ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Heri ya siku ya vijana Duniani

    Leo ni siku ya vijana duniani, ni vyema isipite hivi hivi bila kutia neno kwa vijana Sore tunajua moja ya kundi lenye ushawishi na nguvu, ni vijana Moja ya kundi ambalo hutajwa kama taifa la kesho ni vijana. Japo vijana sio taifa la kesho tena, bali taifa la sasa. Moja ya kundi ambalo...
  2. Heri ya siku vijana ulimwenguni

    HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi. Heri ya siku ya vijana Duniani SamiaAPP KaziIendelee
  3. Pre GE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  4. B

    Siku ya vijana duniani. WYD Portugal live link

    Tumsifu Yesu Kristo. Waktristo halisi.
  5. SIKU YA VIJANA: Rais Samia na Elimu na Ujuzi kwa vijana

    Na Kevin Lameck Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana. Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
  6. Agosti 12: Siku ya Vijana Duniani (International Youth Day)

    Siku ya Vijana Duniani inaadhimishwa kila Agosti 12 kutambua na kupaza sauti kuhusu umuhimu wa ushiriki wa Vijana katika Masuala mbalimbali Siku hii inasisitizia Haki za Vijana kupata Elimu, Ajira, Huduma za Afya, Huduma za Kifedha na kushiriki katika Jamii CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA Kwa...
  7. Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…