Nawatakia wanawake wenzangu heri ya siku ya wanawake duniani. Tuna mengi ya kujivunia sisi kama akina mama, dada, wake, watumishi, wafanyabiashara, wanajamii na nguzo muhimu ya familia.
Binafsi najivunia kuwa mwanamke anayetengeneza kizazi bora kijacho kama mama, najivunia pia kuwa sehemu ndogo...