Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali.
Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote...
Ukifanikiwa kumshawishi mwenza wako siku ya leo mkatoka kwenda kusalimia wenye uhitaji mahospitalini hata vituo vya wenye uhitaji mtakuwa mmefanya jambo litaloishi mioyoni mwa watu na machoni pa Mungu hata milele.
Mimi huku mambo bado hayaeleweki. Demu lenyewe linajishebedua.
HAPPY VALENTINE...
Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje?
Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii?
Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space”
Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala.
Bado hakijaeleweka, tutajaribu...
Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi.
Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi.
Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi.
Krismasi ikifika, wewe pekee ndiye unayetoa zawadi.
Siku ya kumbukumbu ya uhusiano wenu, bado wewe pekee ndiye...
Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama?
Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa?
Let's go😀😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.