siku ya wapendanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

    Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali. Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote...
  2. Happy Valentine's Day kwa Wapendanao

    Ukifanikiwa kumshawishi mwenza wako siku ya leo mkatoka kwenda kusalimia wenye uhitaji mahospitalini hata vituo vya wenye uhitaji mtakuwa mmefanya jambo litaloishi mioyoni mwa watu na machoni pa Mungu hata milele. Mimi huku mambo bado hayaeleweki. Demu lenyewe linajishebedua. HAPPY VALENTINE...
  3. Siku ya wapendanao ni ijumaa hii, vipi kishaeleweka?

    Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje? Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii? Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space” Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala. Bado hakijaeleweka, tutajaribu...
  4. Wanaume tukutane hapa tena

    Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi. Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi. Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi. Krismasi ikifika, wewe pekee ndiye unayetoa zawadi. Siku ya kumbukumbu ya uhusiano wenu, bado wewe pekee ndiye...
  5. Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…