siku ya wazee duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Gwajima D

    Heri ya Siku ya Wazee Duniani 01/10/2024

    Kwa heshima, nachukua fursa hii kuwatakia wazee wetu wapendwa wa Tanzania kila la heri kuelekea kesho tarehe 1 Oktoba, 2024 ambayo ni siku mahsusi ya maadhimisho ya siku ya wazee duniani. Wapendwa wazee wetu, sote tunaikumbuka historia ya Disemba 14 mwaka 1990, ambapo, Mkutano Mkuu wa Umoja wa...
Back
Top Bottom