Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama imeshaanza kuja msikitini nakutana na sms ya admin removed you sasa kwanini asingenitoa toka muda yaani...