Wakuu,
Kazi kwelikweli, uchawa unatumaliza!
====
Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia uongozi wa Mbunge wao, Mheshimiwa Jerry Silaa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyaleta katika jimbo hilo tangu awe...