silaa

Zubeen Garg is an Indian singer, music director, composer, lyricist, music producer, actor, film director, film producer, script writer and philanthropist. He primarily works for and sings in the Assamese, Bengali and Hindi-language film and music industries.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Silaa aelekeza minara yote 758 kuwashwa ifikapo Mei 12, 2025

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameelekeza kuwa ifikapo tarehe 12 Mei 2025, saa 6 usiku, ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini uwe umekamilika na minara yote 758 iwe imewashwa, ili wananchi waweze kupata huduma za mawasiliano. Waziri Silaa alitoa...
  2. Waziri Silaa ashiriki kupandisha vifaa ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano Kijiji cha Idete (Morogoro)

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro. Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...
  3. Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  4. Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  5. Waziri Silaa asisitiza umuhimu wa Anwani za Makazi katika kurahisha utambuzi na utoaji wa huduma

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma mbalimbali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 06 Februari...
  6. Waziri Silaa azindua mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria (Swifpack), asema utapandisha thamani kazi ya bodaboda

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
  7. Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  8. Waziri Silaa: Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) Unasomana na Mifumo 13 ya Huduma Serikalini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini. Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
  9. Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

    Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem Leo ameibuka amenza...
  10. Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  11. Waziri Jerry Silaa ateua Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania na Wajumbe wa Bodi hiyo

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1) kikisomwa pamoja na jedwali la Sheria ya Shirika la Posta ya Mwaka 1993 Kipengele cha 1(1)(b) pamoja na Tamko la Waziri Na. 845 lililochapishwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe 15 Novemba, 2019 vinampa Mamlaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
  12. Waziri Silaa ameweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Sekoutoure iliyogharimu zaidi ya Shilingi bilioni moja

    Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja. Shule...
  13. Waziri: Silaa Tunaendelea kuwekeza kwenye TEHAMA

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia...
  14. Waziri Silaa: Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine kukuza Uchumi wa Kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA. Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
  15. Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

    Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
  16. DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

    Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu. Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
  17. Jerry Silaa kutolewa ardhi, tutarajie tena migogoro ya ardhi kuanza kuibuka upya na matapeli wa ardhi kuanza kutembea vifua mbele

    Niaje waungwana Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana. Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani...
  18. Vipi mipango ya Jerry Silaa ndio imeisha

    Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya Jery Silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi...
  19. B

    Waliong'ara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

    Ni nini kinasababisha Waliongara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa Tuliona aluyekuwa waziri wa ardhi Jerry Silaa akifanya kazi vizuri na kutoa elimu kwa umma juu ya masuala ya umiliki ardhi, usimamizi wa mirathi n.k buree kwa raia kiasi wananchi Kutokana na...
  20. Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

    Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari, Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk. Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata. Tunaomba usije ukawekwa mfukoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…