Kuna tatizo sugu la ardhi limekuwa likiendelea nchi kwa miaka mingi. Halmashauri nyingi hazitaki kupima mashamba vijijini kwa makusudi mpaka wanapopata mradi. Mradi ukitokea wenye mashamba wanapewa fidia kidogo, mashamba yakishapimwa wanamilikishwa wafanyakazi wa ardhi halafu wanayauza kwa faida...