silaa

Zubeen Garg is an Indian singer, music director, composer, lyricist, music producer, actor, film director, film producer, script writer and philanthropist. He primarily works for and sings in the Assamese, Bengali and Hindi-language film and music industries.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

    Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini...
  2. Waziri Silaa ataka wasajili wa hati kuacha urasimu na lugha chafu

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu. Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
  3. Pre GE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  4. Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
  5. Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia. Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo. Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama...
  6. Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  7. Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  8. Waziri Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta na kusimamisha matumizi ya Kituo cha mafuta cha Barrel cha Mikocheni

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
  9. K

    Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…