JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU...