Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A.
Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana.
Serikali bado tunasubiri...
Russia imedai inatengeneza drone 4000 kwa siku. Hii ni kutokana na silaha nyingi kutumika kwene vita ya Ukraine.
Ushauri kwa serikali.
Hii nchi mbaka sasa sijui inatengeneza nini. Pamoja na kuongezeka kwa changamoto za kiusalama bado kama nchi haijaweza au haina uelekeo wa kuboresha uzalishaji...
Kaa chonjoo mwana JF
Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita...
Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria
Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
Watanzania,
Bunge letu,
Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria.
Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu.
Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu.
1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
WanaJF,
Natumai wote tupo poa.
Baada ya kutoka kanisani leo nimekuwa natafakari madhara ya vita vinavyoendelea sehemu mbalimbali duniani kama Ukraine, Sudan etc.
Naendelea kujifikirisha hapa kwa nini viongozi wetu wakubwa wa dunia kama Umoja wa Mataifa wasipige marufuku utengenezaji wa hizi...
Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), imeinesha Nchi 5 tu (Marekani, Russia, Ufaransa, China na Ujerumani) zimechangia 76% ya Usambazaji wa Silaha za Kivita duniani.
Kwa mujibu wa SIPRI, kati ya mwaka 2018 hadi 2022 Mataifa ya Kusini mwa Jangwa La Sahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.