silaha za moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TBT: Tashriff wafunguka mkasa mzima alivyotekwa Mzee Kibao. 'Tuliogopa walikuwa na silaha za moto'

  2. Je, sheria kuzuia raia kumiliki silaha ndio nguvu ya wasiojulikana kuteka watu kwa urahisi?

    Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio. Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
  3. Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  4. Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  5. Simiyu: Maafisa wa Serikali watuhumiwa kutumia gari la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupora Wakulima kwa silaha za moto

    Gari la Serikali la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lenye namba za usajili DFP. 9182 likitumiwa na Afisa Biashara Mkoa wa Simiyu, Mustafa Kimomwe (ambaye pia ni Afisa Ushirika) na maafisa wenzake, wamefanya unyang’anyi wa kutumia silaha za moto (bunduki) katika Ofisi za Vyama cha Kilimo na...
  6. Msaada: Namna ya kuripoti uhalifu wa kutumia silaha za moto bila kwenda Polisi

    Niliwahi kuleta Uzi kwa nia ya ku whistle blow taarifa nyeti ya mtu ninayemshuku kuwa ni gaidi wilayani Bwagamoyo. Nilimshuku mtu huyo baada ya ishara kuu Tatu. 1. Tulianza mijadala ya kawaida ya kidini lakini baadaye akwa nanaishawishi nibadili dini. 2. Alipoona sielekekei kukubaliana naye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…