Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Usiku mwema inshallah
IAF continues preparations for potential strikes in Iran
IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
========================================================
Russian...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.
Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na...
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.
Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi...
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi.
Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika wake, Belarusi, kwenye milango ya Umoja wa Ulaya, inayogawana mipaka na nchi mbili za Baltic...
Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA.
Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
Hii ni kauli ya rais wa Ukraine ndugu Volodymyr Zelensky alipokuwa anahojiwa juu ya vita inayoendela kwamba mwamba anaweza kugeukia silaha za nyuklia au za kemikali kwa sababu hathamini maisha ya watu wa Ukraine.
"Sio mimi tu bali ulimwenguni wote, nchi zote lazima ziwe na wasiwasi kwa sababu...
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya.
Finland ambayo inashirikiana...
Katika vita ya uvamizi inayoendelea kufanywa na Urusi nchini Ukraine ilifikiriwa na wengi ungekuwa uvamizi rahisi ambao ungedumu siku chache na Putin angetimiza malengo yake kwa gharama ndogo na kwa muda mfupi lakini uhalisia haujawa hivyo, jeshi la Urusi lilikouwa linaonekana kuwa imara sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.