Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika wake, Belarusi, kwenye milango ya Umoja wa Ulaya, inayogawana mipaka na nchi mbili za Baltic...