ASALAAM,
KATIBU MKUU aliyekuwa secretariate ya ajira tunaomba ayangalie haya kipindi cha daudi yalisimama vizuri sana. Tunamuomba ayasimamie haya:
1. Usaili unapangwa zigzag tu mwanzoni tulikuwa tunfanya usaili kwa siku tatu mfululizo mfano tar 10,11,12 ili hata kama mtu umechukua loji uweze...